Kilimo cha Uyoga chatoa ajira kwa akinamama Boko, Bunju

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
338
Reaction score
180

“BADALA ya kukaa nyumbani bila kazi tukisubiri waume zetu wahangaike na kutuletea, sasa tunaweza kujiajiri wenyewe kupitia kilimo cha uyoga,” ndivyo anavyoanza kueleza Sophia Chove, mwenyekiti wa kikundi cha ‘Tunza Women Group’ katika Mtaa wa Kilungule - Bunju, jijini Dar es Salaam.

Sophia anaeleza kwamba, ingawa hawajaanza kilimo hicho muda mrefu, lakini kuna dalili njema kwamba kitawalipa kwani tayari wateja wengi wameanza kuwasumbua wakitaka huduma pindi watakapoanza kuvuna zao hilo.

Soma zaidi hapa=> Kilimo cha Uyoga chatoa ajira kwa akinamama Boko, Bunju | Fikra Pevu
 
Salam. Ninataka kufanya kilimo cha uyoga. Tafadhali nipatieni mawasiliano ya hawa akina mama wa Bunju. Nipo Ubungo na nina eneo zuri kwa ajili ya kazi hii. Namba yangu ni 0758830045. Asante
 
Safi sana.
Nimepata namba ya simu ya wataalam wa kilimo cha uyoga. Hii hapa. 0716508848
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…