Things might be different now.
Lakini let me share my experience.
Mnamo miaka ya 2015 hapo nilifanya hichi kilimo nikiwa arusha. Mimi nlikua nalima zile oyster mushroom. Nlienda nane nane maonyesho, nkakuta wajamaa flan hivi na chama chao, wakaniconvince, nkaamua kuingia kwenye kilimo cha uyoga.
Picha linaanza, gharama ya kuandaa shamba ilikua kubwa kwa sababu nililima ndani ya chumba, kwaio ile milingoti, mifuko na maranda was expensive, alaf ikaja kwenye hyo process, mambo ya kuchemsha maranda n.k was fukn time consuming and expensive.
After a month, hyo kitu ikaiva. Jam ikaja kwenye soko sasa... weeee hakuna rangi niliwacha ona kudadadek, mzigo ukawa wa kutosha lakn wateja deshi. Nlikula hasara kubwa hatari. Nilipokua naenda mahotelini n.k wengi walikua wanataka button mushroom coz inaekwa kwenye pizza n.k, lakn changamoto yake ni hali yahewa maana inatakiwa ilimwe kwenye sehem iko na baridi, so kwangu ilikua jam.
Ushauri wangu n kwamba, kama unalima button, it pays a lot na ina soko sanaa, lakn oysters, duh, utachambia sime mkuu.
Its a lucrative business, na changamoto hua ni pale kwenye setup tu, lakn ukishaanza kutoka, unatoka almost kila after 3 days, so utavuna kwa muda mrefu. The best thng i think uwe na uhakika wa soko we mwenyewe kwanza na sio ile ya kuambiwa na watu kua tutakusaidia kutafta soko n shit.
Ukishalipata, lima hyo kitu. Inalipa