Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,272
mkuu nakupa contact za jamaa mmoja hapo SUA. jishike naye. utanishukuru baadae.Habari wakuu....
Natamani nianze rasmi kilimo hiki, naomba ushauri kuhusu masoko na bei zake huwa zikoje huko masokoni.....
Niko Morogoro mjini.
Karibuni.
Mkuu km hutojali naomba hizo tofauti za huo uyoga!.Things might be different now.
Lakini let me share my experience.
Mnamo miaka ya 2015 hapo nilifanya hichi kilimo nikiwa arusha. Mimi nlikua nalima zile oyster mushroom. Nlienda nane nane maonyesho, nkakuta wajamaa flan hivi na chama chao, wakaniconvince, nkaamua kuingia kwenye kilimo cha uyoga.
Picha linaanza, gharama ya kuandaa shamba ilikua kubwa kwa sababu nililima ndani ya chumba, kwaio ile milingoti, mifuko na maranda was expensive, alaf ikaja kwenye hyo process, mambo ya kuchemsha maranda n.k was fukn time consuming and expensive.
After a month, hyo kitu ikaiva. Jam ikaja kwenye soko sasa... weeee hakuna rangi niliwacha ona kudadadek, mzigo ukawa wa kutosha lakn wateja deshi. Nlikula hasara kubwa hatari. Nilipokua naenda mahotelini n.k wengi walikua wanataka button mushroom coz inaekwa kwenye pizza n.k, lakn changamoto yake ni hali yahewa maana inatakiwa ilimwe kwenye sehem iko na baridi, so kwangu ilikua jam.
Ushauri wangu n kwamba, kama unalima button, it pays a lot na ina soko sanaa, lakn oysters, duh, utachambia sime mkuu.
Its a lucrative business, na changamoto hua ni pale kwenye setup tu, lakn ukishaanza kutoka, unatoka almost kila after 3 days, so utavuna kwa muda mrefu. The best thng i think uwe na uhakika wa soko we mwenyewe kwanza na sio ile ya kuambiwa na watu kua tutakusaidia kutafta soko n shit.
Ukishalipata, lima hyo kitu. Inalipa
Mkuu km hutojali naomba hizo tofauti za huo uyoga!.
Na muonekano wake km hutajali
Kumbe 🤔View attachment 2864658
Oyster mushroom
View attachment 2864659
Button mushroom.
Sijui vzur tofaut yake but kwa the simplest way ntakueleza kwenye ladha na muonekano.
Oyster ladha yake n kama ile nyama ya kubanikwa. Inakua inavutika kama mpira hv.
Button n kama unakula maini thats why mara nyingi yaekwa kwenye pizza
DuhKama unaweza zalisha Button utapata pesa,na asilimia 99.9ya watanzania wanazalisha Osyster,Button wanaogopa mziki wake,inagwa inalipa sana.Nisha wahi leta uzi huku wahio Button,nilizodolewa sana humu.
Kwani Huwa una Radha tofauti?View attachment 2864658
Oyster mushroom
View attachment 2864659
Button mushroom.
Sijui vzur tofaut yake but kwa the simplest way ntakueleza kwenye ladha na muonekano.
Oyster ladha yake n kama ile nyama ya kubanikwa. Inakua inavutika kama mpira hv.
Button n kama unakula maini thats why mara nyingi yaekwa kwenye pizza
First of all i think n ladha. Hizi type mbili ladha zake ni very different.Kwani Huwa una Radha tofauti?
Kwann huu button unatumika kwenye pizza ,huu mwingine hautumiki?
Ni umbile au Radha?
nimekuelewaFirst of all i think n ladha. Hizi type mbili ladha zake ni very different.
Pili, texture yake n tofauti, button n laini so inalika kwa urahisi, lakn oyster ina kaugumu flan inabd utafune sana. So kwenye pizza haibambi.
Lastly i think n cookin time, button inaokwa na pizza na inaiva fresh tu, lakn oyster ukiioka ikitoka n kama vile itakua mbichi bado na ngumu so it needs a longer cooking time so pizza inaeza kuungua ili tu uyoga uive. Bad for business