Kilimo cha viazi Njombe kinalipa faida kwa heka 1 ni zaidi ya milioni 8

Kilimo cha viazi Njombe kinalipa faida kwa heka 1 ni zaidi ya milioni 8

Kuna siku nilijiuliza nikakosa jibu
wale vijana wa Bashe sijui ndio wanaitwaje Kwa Nini hawakupelekwa huko?
 
Haya maneno ya maifuluesaaa,ingia on ground ndo utajua hujui
 
Jichanganye nawe kalime kama hujavaa chupi kichwani. Za kuambiwa changanya na zako
 
Mkuu umewahi kuusikia ugonjwa wa ukungu kwenye viazi.?
 
Siwezi kusadiki nina ndugu zangu wamezaliwa huko njombe wamezaliwa kwenye hicho kilimo Cha viazi
 
Back
Top Bottom