B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,443
- 3,002
Habari wakuu humu. Naamini mkopoa kabisa. Sasa wakuu wa kaya. Kijana wenu kutokana na maisha yanvyo zidi kupanda na kikazi changu cha bank ambacho mshahara wote unaisha kabla ya tarehe kukutana na kushindwa kusave kabisa. Nataka kubadilisha mtazamo kidogo nataka kulima vitungu. kuna sehemu nimeambiwa morogoro wanalima na kuna mashamba ya kukodisha. na kuna sehemu nyingine aljazira sijui barabara ya iringa...ila niko intrested na morogoro maana naweza kuwa bado kazini na kupata mda weekend kwenda kuangalia mradi.
Sasa nnacho taka kujua kutoka kwenu wakuu kwa mtu anae jua sehemu hiyo moro..kama ni kweli mashamba yana patikana na ni bei gani?je kwa kuanza nianze na kiasi gani amfano na milio moja na nusu je inatosha kwa kuanza[kukodi shamba,kununua mbegu,kumlipa msimamizi a shamba na kuanda pamoja na garama za dawa].