Kilimo cha vitunguu kiroka

Kilimo cha vitunguu kiroka

bejamini

Senior Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
121
Reaction score
13
wadau, nimevutiwa sn na kilimo cha vitunguu maji pale kiroka morogoro, je kwa wale wazoefu wa mazingira ya kiroka, vp maeneo yenye mito yapo? na mito hiyo ni ya msimu au Mwaka mzima?
pia kiroka inafaa kwa kilimo cha umwagiliaji?
 
Back
Top Bottom