B bejamini Senior Member Joined Sep 13, 2013 Posts 121 Reaction score 13 Jul 12, 2015 #1 wadau, nimevutiwa sn na kilimo cha vitunguu maji pale kiroka morogoro, je kwa wale wazoefu wa mazingira ya kiroka, vp maeneo yenye mito yapo? na mito hiyo ni ya msimu au Mwaka mzima? pia kiroka inafaa kwa kilimo cha umwagiliaji?
wadau, nimevutiwa sn na kilimo cha vitunguu maji pale kiroka morogoro, je kwa wale wazoefu wa mazingira ya kiroka, vp maeneo yenye mito yapo? na mito hiyo ni ya msimu au Mwaka mzima? pia kiroka inafaa kwa kilimo cha umwagiliaji?