toccara
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 540
- 202
Hapa Tanzania kilimo cha Basil, Mint, Parsley, Sage, oregano, thyme, rosemary, mbegu za chia, kinaweza kulimwa katika mikoa ipi, nimeahidiwa soko kubwa lakini mpaka sasa sijafahamu hiki kilimo nitaweza kukifanyia mkoa gani, mwenye ufahamu naomba anijuze