Kilimo cha viungo /dawa

toccara

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2014
Posts
540
Reaction score
202
Hapa Tanzania kilimo cha Basil, Mint, Parsley, Sage, oregano, thyme, rosemary, mbegu za chia, kinaweza kulimwa katika mikoa ipi, nimeahidiwa soko kubwa lakini mpaka sasa sijafahamu hiki kilimo nitaweza kukifanyia mkoa gani, mwenye ufahamu naomba anijuze
 
Angalia mahitaji ya kihali ya hewa na udongo kisha tafuta mkoa wenye mazingira hayo.
 

Za kwako boss, ni naomba mrejesho wa zao la chia seeds.
Kuhusu uwezekano wa market haswa la nje!
 
Toccara hongera kwa maono mazuri. Mimi napenda kuanzisha kilimo cha oregano, je mbegu zake zinapatikana wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…