Kilimo cha vyakula vinavyoliwa na Foregners

Kilimo cha vyakula vinavyoliwa na Foregners

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Watanzania wengi tumewekza sana kwenye biashara za kuigana mwanzo mwisho na tuna sahau kuna gap kwenye kilimo cha vyakula wanavyo tumia sana foregners wanao iahi Tanzania.

Na kwenye Kilimo hata ukiwa na watu 30 tu wanao tumia products yao nchi nzima inatosha , sio lazima kuwa na product ya kuuza kila sehemu na still haina profit.

Naangaliaga Arusha unakuta products zingine inabidi zitole Kenya, kwa ajili ya Goreigners, na some time South Africa, na sisi tuna aridhi sijui tuna kwama wapi au tunangojea Waziri atutangazie kwamba sasa limeni kitu fulani?

Nchi ina foreigners wengi sana, Wazungu, Wahindi, Wachina, Wajapani na hata Waafrica wa mataifa mengine, hao wote wana utamaduni wao wa vyakula wanavyo pendelea.

Mfano Wachina wanapenda sana kula Bata kulilo Kuku, ila sasa wanapata Bata wa kutosha? Vipi aina zao za mboga?

The same kwa Wazungu, na kadhalika, Ukiweza kuzalisha products yavkuwauzia tu hata wachina 30 nchi nzima inatosha ni soko kubwa sana.

Ni asilimia ndogo ya vyakula tunavyo zalisha vinavyo liwa na wageni.
  • Varieties za matunda
  • Varieties za mboga
  • Spices
  • Nyama ingawa hapa labda sana aina ndege kama Bata
  • Varieties za Uyoga

Matunda kuna varieties nyingi sana sisi tunajua kama asilimia 10 ya varieties zote za matunda, the same na Mboga, the same na Spice na kadhalika.
 
Mkuu naomba unisaidie hapa aina za mboga mbaki mbali za majani na matunda,angalau 30,ninataka kujua ninapojipanga na project yangu ya kilimo.
Asante.
Duuuh kumbe mada ya kitambo.
Ila ulitakiwa uanzie sokoni kwanza kujua mahitaji.
Mleta mada kataja mboga au matunda yanatoka Kenya. Ni jukumu lako kufanya utafiti kujua ni mboga gani, kwa kiwangp gani, Uzalishaji na msimu, demand ipoje n.k
 
Back
Top Bottom