Kuna rafiki yangu mmoja yupo Dumila, Morogoro yeye huwa analima Ufuta na ktk heka moja anapata magunia manne tu!!, nilishangaa sana.Ya Ufuta si kwamba unalipa sana bali una bei kubwa sana, Make ukiona bei iko juu , tambua kwamba kuna ugumu katika hiyo kazi, so kilimo cha Ufuta mpka ufikishe Gunia moja umelima shamba la kutosha,
Ukiona kitu kinauzwa bei ya juu si kwamba kina lipa no ni bei iko juu kulingana na supply kuwa ndogo, Mfano Huku Arusha kuna KAMPUNI MOJA YA MAUA na kuna aina fulani ya maua huwa ukilima unawauzia Kilo Moja Tsh 300,000/ Ila mziki wa kupata hizo kilo si mchezo unaweza lima ukaishia kupata nusu kilo tu,
Kilo moja kwa sasa ni Tzs.1,800/= maeneo ya kabuku.
Ufuta gunia sh ngapi?
Wadau kilimo hiki nasikia kinalipa ile mbaya gunia moja la ufuta linaenda mpk lak 3 za Kitanzania,je kuna yeyote mwenye info za siada kuhusiana na kilimo hiki?
yah kweli kinalipa jaribu mikoa ya kusini na nyanda za juu, BUT BEI YA UFUTA IPO CONTROLLED NA WADOSI
Ya Ufuta si kwamba unalipa sana bali una bei kubwa sana, Make ukiona bei iko juu , tambua kwamba kuna ugumu katika hiyo kazi, so kilimo cha Ufuta mpka ufikishe Gunia moja umelima shamba la kutosha.
Ukiona kitu kinauzwa bei ya juu si kwamba kina lipa no ni bei iko juu kulingana na supply kuwa ndogo, Mfano Huku Arusha kuna KAMPUNI MOJA YA MAUA na kuna aina fulani ya maua huwa ukilima unawauzia Kilo Moja Tsh 300,000/ Ila mziki wa kupata hizo kilo si mchezo unaweza lima ukaishia kupata nusu kilo tu.
mkuu kama unafahamu lolote kuhusu usindikaji wa ili zao tupe uzoefu..
Kwahiyo huu ufuta unalipa au haulipi? maana nasikia hautaki mvua nyingi.
Kilimo kinaendelea vizuri wadau..sasa ivi tupo kwenye kipindi cha kupulizia dawa ya magugu,tumelazimika kurudia kupuliza shamba zima maana,mara ya kwanza tulipuliza round up ila ikashindwa kuua majani mapana,sasa tumechanganya na dawa nyingine na magugu yanakufa sasa.
Baada ya hapo muda sio mrefu tutaanza kupanda sasa hii "dhahabu ya kusini".