Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

Kwa wale wafugaji hasa wa mikoa yenye gharama kubwa ya chakula sasa Bei kubwa ya chakula isikukwamishe kufuga. Sasa unaweza pata chakula cha mifugo pia nafaka mbalimbali kwa bei halisi ya mkoani

Unachotakiwa kufanya ni kuwasiliana na nasi katika group letu huwa tunapakia na kusafirisha hadi mkoa ulipo kwa bei ya mkoani na nafuu zaidi

Vyakula unavyoweza pata
1. Pumba za mahindi
2. Pumba za mpunga laini kwaajili ya nguruwe
3. Mashudu
4. Uduvi
5. Chakula cha kuchanganywa
6. Na vyakula vingine kwa order ya mteja husika kama uduvi, mahindi, chenga za dagaa, nk
 
Vipi mkuu msimu huu ulilima
 
Mkuu hailipi kwa bei hiyo, coz ekari moja ya ufuta huwa inatoa gunia 3 kiwango cha juu, kwahiyo 1900×3= 570000. Ambapo mahindi ekari moja inaweza kutoa hadi gunia 10×60000= 600000 kiwango cha juu.

Hapo ilitakiwa bei ianzie walau 2500kg
Mkuu
 
Ulilima mkuu?
 
Mlianza na Alizeti, matikiti, mayai ya kware, vanilla, parachichi na mnarudia kulukule kwenye ufuta.

Shauri zenu nyie limeni tu tutakuja kununua kilo sh 500 kumbuka vita ya Ukraine Bado inaendelea.

Iga ufe!

mrangi mgt software Countrywide

Sasa kama wote tukipata uoga tukaacha kulima watu watakula nini ? Formular ya maisha pata poteza .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…