KIJIJI CHA HAKI
Senior Member
- Apr 10, 2012
- 101
- 17
thanx mkuu, kwani debe moja huwa lina kilo ngapi? Mi soko langu ni la hao hao waasia...na hiyo bei ni mikoa ya kusini kama mtwara au kati singida nk?
Thanx mkuu...kwani debe moja huwa lina kilo ngapi? Mi soko langu ni la hao hao waasia...na hiyo bei ni mikoa ya kusini kama Mtwara au kati Singida nk?
Kuhusu ujazo naona mkuu keshakujibu hapo juu na bei ya 30k ni mikoa ya Morogoro na Dodoma. Sina uzoefu kwa mikoa mingine ila wadau wanakuja hapa bila shaka kila utakalouliza litajibiwa hapahapa kiufasaha kabisa!
Ningependa kuitumia fursa hii kwa wale wadau ambao mna pesa ila hamna mashamba basi tuwasiliane haraka msimu ndio huu nitakukodisha shamba langu kwa bei bwerere kabisa!
Nitupieni maombi yenu kwa PM chapchap!
Hakuna shida Mkuu, mimi nimeanza kutayarisha Shamba Mwaka huu nalima UFUTA Eka 10,nitakuwa naleta mrejesho hapa kadri kz itakavyokuwa inaendelea Ila kutembelea kwenye maonyesho ni Muhimu zaidi.