Ndugu zangu kwa kuwa sisi watanzania huwa ni watu wa kusaidiana kwa hali tofautitofauti kulingana na uhitaji wetu, nami naomba msaada wenu kwa anayejua.
1. Ni zao gani la miezi mitatu linalimwa huku uliko.
2. Linaghalimu shilingi ngapi kwa ekari moja kuanzia kulima shamba hadi kuvuna
3. Ekari moja inatoa mavuno kiasi gani?
4.bei ya soko kwa bidhaa husika.
Labda kwa kifupi nataka kujua nianzie wapi katika harakati za kujikwamua kiuchumi