Kilimo Hai (Organic Farming)

Kilimo Hai (Organic Farming)

nurdin24

New Member
Joined
Jul 24, 2024
Posts
3
Reaction score
0
Habari wakuu . Naomba msaada wapi nitajifunza Kilimo Hai cha mbogamboga, JijiniArusha.
Nahitaji kulima mbogamboga zisizotumia kemikali wala mbolea za viwandani.
 
Kuna miongozo minhmgi tu online jinsi ya kulima hicho kilimo. Au watafute jamaa wanaitwa eco wako ngaramtoni jirani na Radio habari Maalumu huko, pia kuna watu wanaitwa Mkulima Mbunifu wako some where Sakina huko, unaweza wa google,
 
Back
Top Bottom