N nurdin24 New Member Joined Jul 24, 2024 Posts 3 Reaction score 0 Nov 17, 2024 #1 Habari wakuu . Naomba msaada wapi nitajifunza Kilimo Hai cha mbogamboga, JijiniArusha. Nahitaji kulima mbogamboga zisizotumia kemikali wala mbolea za viwandani.
Habari wakuu . Naomba msaada wapi nitajifunza Kilimo Hai cha mbogamboga, JijiniArusha. Nahitaji kulima mbogamboga zisizotumia kemikali wala mbolea za viwandani.
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,872 Reaction score 9,263 Nov 17, 2024 #2 Kuna miongozo minhmgi tu online jinsi ya kulima hicho kilimo. Au watafute jamaa wanaitwa eco wako ngaramtoni jirani na Radio habari Maalumu huko, pia kuna watu wanaitwa Mkulima Mbunifu wako some where Sakina huko, unaweza wa google,
Kuna miongozo minhmgi tu online jinsi ya kulima hicho kilimo. Au watafute jamaa wanaitwa eco wako ngaramtoni jirani na Radio habari Maalumu huko, pia kuna watu wanaitwa Mkulima Mbunifu wako some where Sakina huko, unaweza wa google,
N nurdin24 New Member Joined Jul 24, 2024 Posts 3 Reaction score 0 Nov 18, 2024 Thread starter #3 Shukrani ndugu.