Jiger
Member
- Jun 8, 2023
- 26
- 12
Uchumi wa nchi yetu utegemee zaidi kilimo kwa kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa Tanzania basi sekta hii ipewe bajeti nzuri kwa ajili ya wakulima (mikopo) na kupunguza garama za pembejeo mfano mbolea za viwandani, viuwa tilifu, mashine za shambani pamoja na kupunguza garama za uwekaji mazao kwenye magara yanayo milikiwa na shilika au serikari tukifanya hivi tutaweza kilimo kiweze kufanywa na watu wenye uchumi wa chini wakati na wajuu kwa usawa na ubora kwa kila mmja wao na kujipatia kipato halali na kuendeleza kujenga taifa letu.
Yale mazao ya biashara yanayo zalishwa na mikoa tofauti tofauti yapewe kipaombele sana na yatafutiwe wateja wa ndani na wa njee ili kupata fedha za kigeni na kukuza uchumi wetu.
Mfano ya mazao ayo ambayo mikoa mingi tanzania inazao kuu ambalo uzalishwa kwa wingi mfano nyanda za kusini kuna zao kama KOROSHO, UFUTA aya mazao yanazalishwa zaidi mkoani mtwara na mazao mengine kama MCHERE yana zalishwa sana mkoa mbeya, morogoro pamoja na zao la ALIZETI ambalo linazalishwa sana uko singida pamoja na mikoa mengine mingi sana apa tanzania inayolima mazao ya bishara.
Serikali itumie mabalozi wake waliopo nchi mbalimbali kutafuta masoko kulingana na mazao nayao zalishwa nchini na kuwepo mfumo mzuri wa mkurima kupeleka bidhaa yake na kufanyiwa mchakato wa kusafilishwa na kama kutakuwa kuna uwezekano wa kuongeza samani basi yafanyiwe na kuweka jina ambalo litatambulisha nchi.
Kutoka na nchini yetu kuwa na aridhi ya kutosha pamoja na maziwa, mito,na mabwawa tungeweza kufanya kilimo cha umwagiliaji na kuachana kabisa na kilimo cha kutegemea mvua uwa akina uwakika sana wa mavuno na kina pelekea asala kubwa kama mvua zikakosekana za kutosha au mvua zikazidi na kufanya uwalibifu apa serikari inge ajili maafisa kilimo kila kata na kila kata kuwe na uzalishaji wake na ushindani wake.
Kuna nchi ambazo zipo kwenye ukanda wa jangwa la izo ndio zingekuwa wateja wetu wa kuu wa mazao yetu na kuna nchi ambazo uchumi wake umeegeme kwenye mafuta, madini na kodi izo ndio zingekuwa nchi ambazo tuna peleka mazao yetu na kufanya biashara yenye faida.
Pia wakulima wafundishwe jinsi ya kuongeza samani mazao yao viwanda vitengenezwe kwa ajili ya kuongeza samani na bandari zipanuliwe viwanja vya ndege vipanuliwe na vifanye kazi kila mkoa kiwe na kiwanja chake ambacho mazao yatasafilishwa bila kutegemea kiwanja cha taifa au bandari ya taifa au ndege zinazo toka njee ya nchi ziweze kutua kwenye viwanja husika na kuchukua bidhaa kwa ajili ya biashara.
Hapo nchi itapata kodi, fedha za kigeni uchumi wetu utakuwa vilevile elimu ya kilimo ipewe nafasi kubwa mashuleni kuanzia msingi mpaka sekondari na ufundishwe kwa vitendo na kusimamiwa vizuri apo wanafunzi watajifunza kilimo bishara na pamoja na ujasiliamali ili kutofanya nchi kuwa na mlundikano wa vijana kutegemea ajila serikalini au sekta binfsi .

Upvote
2