Kilimo kinavyonizidi kunitajirisha, milioni 50 kwa mwaka

 
Kwenye forum ya biashara umeweka milion 24 kwa kuuza ufuta na mihogo na kuwatusi watembeza bahasha za kaki huku umeweka milioni 50!! Hongera sana
 
"Nili earn"... kwani mkiandika kwa kiswahili sahihi mtakufa? Na kama ulipata milioni 50 kwa mwaka hizo 150 zimeingia kimiujiza kwenye account?
 
Ukimuamsha aliyelalala utalala wewe, ukiona mtu anakuitia fursa ya maokoto ujue maokoto yenyewe ni wewe!, Akili mkichwa
 
Kama ulianza std 1 na miaka 7,form 4 ulikuwa, na 10,mpaka unatoka chuo(kama, ulifika), Ulimaliza na 17! After 10 yrs una 150M, maana yake kwa wastani kila mwaka ulitengeneza 15M! Hiyo yote faida maana hupangi, unakula hm, huna mke wala mtoto!
Au inawezekana ulitengeneza 150M, kwa miaka mitatu! Kila mwaka 50M faida, net profit!
Ama ulikuwa unauza bangi, cocaine,
Kwa uZoefu wangu(mie muhenga), nimeona watu wakifikia ukwasi kutokea kwenye ajira, kampuni zikafa,wakalipwa mpunga mrefu saana,wakafungua ma kampuni, hapo wana miaka 44+, na, kama kampuni zao, zisingekufa, wasingeweza kuwa hata na 40M!
 
Oyaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
27 tayari we kibabu

Watu wana 18yrs na wanaingiza hizo M50 monthly.

Chai yake chai
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ young angekuwa labda ni 25 and below
Ila ameanza vizuri but ni vizuri zaidi angekuja na ushahidi nini gharama ,,, bei gani inakuwa invested na inakujaje 50M per annum
 
Usiniambieee mzeee wangu? Dah hongera niazime japo million 1 nipigenayo picha hrf nakurudishia maana ufukara utaniuwaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…