Hata mimi nilishangaa boss,nitamshauri jamaa aachane naoYale yale ya Mr.kuku watu wanaliwa hela kwa kupenda mteremko, Nani aende shambani akalime aoteshe'apalilie'aweke mbolea'alinde wafugaji wasiingize mifugo,alinde ndege waharibifu aje avune halafu mgawane? Sahau.
Ewaaaaa muache ajikaange tuHiyosasa ndo inaitwa kutumia elimu uloyonayo kupiga pesa za watu.
Hata mimi nilishangaa boss,nitamshauri jamaa aachane nao