Kilimo kwa njia ya mtandao

Jatu wanalima mahindi kiteto, mpunga kilombero, maharage kilindi, machungwa handeni, na sasa wanajiandaa kuanzisha kilimo cha parachichi Njombe
Aiseee,ni watu wa ukweli au ni utapeli tuu,km deci?
 
Nimekuelewa murua kabisa boss wangu
 
Jatu wanalima mahindi kiteto, mpunga kilombero, maharage kilindi, machungwa handeni, na sasa wanajiandaa kuanzisha kilimo cha parachichi Njombe
Jatu ijitangaze sasa kuondoa hizi sintofahamu!!
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kunamambo huwa yananichekesha sana. Yaan niwatumie pesa wanilimie shamba na kunitafutia soko mm nikuchukua faida tu. Hapa ndipo napata picha ni rahisi kiasi gani wakoloni walivyojichukulia Mali zetu. Km mpk enzi hizi kunamambo ya magumashi hv na bado watu wanaingia 18 hebu waza hiyo miaka ya 1899 huko ilkuaje
 
Y Yaani huku mitaani mambo ni mengi,na yote ni utapeli,anza na deci,forever living,longrich,mr kuku nk
 
JATU
 
Aiseee,ni watu wa ukweli au ni utapeli tuu,km deci?
How wanaitwa JATU PLC..... wanajulikana kila secta ya serikali inayojihusisha na masuala kilimo, kama ni mfuatiliaji hata kwenye maonesho ya nane nane walikuwa na banda kule bariadi, hapa dar walikuwa kongamano ubungo plaza lililowahusisha wizara ya kilimo na mgeni rasmi alikuwa katibu mkuu wa wizara ya kilimo.
 
Kujulikana huko hakutoshi kunifanya niwaamini kuwa siyo wapigaji.. nasema hivii. Hakuna kilimo hapa tanzania ambacho wewe utatoa hela ili mwingine alime, apalilie, avune, auze halafu akupe faida.
Hayupo wa hivyo.
 
Mkuu ,Msimu wa mavuno lazima utaambiwa mtandao unasumbua sana uku shambani๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Ndo strategies zao kutumia Taasisi za Serikali kujisafisha
 
Kujulikana huko hakutoshi kunifanya niwaamini kuwa siyo wapigaji.. nasema hivii. Hakuna kilimo hapa tanzania ambacho wewe utatoa hela ili mwingine alime, apalilie, avune, auze halafu akupe faida.
Hayupo wa hivyo.
Kweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ