Jamani kuna kilio cha mawakala wa pembejeo za kilimo kanda ya kaskazini. Mawakala wametoa huduma kwa wakulima tangu mwezi wa 3
cha kushangaza mpaka leo wakulima wamevuna na kula ila mawakala hawajalipwa ujira wao. Swali ni, Ni kweli kwamba sera ya lilimo kwanza itafikia malengo kwa hali hii?