is one of the best place to live and to work ukilinganisha na wilaya nyingine zote za mkoa wa Pwani. Na kama ni afisa kilimo utaenjoy maana nimefanya na watu wa kilimo miradi minne mbali mbali wanamoyo sana ukilinganisha Rufiji, Kibiti, Kisarawe na Bagamoyo. Ni wilaya niliona kuanzia Mkuu wa wilaya na wakurugenzi wote waliopita 2008/15 walikua cooperative.
Mama Sipora, Mama Mercy Sila, Mzee Orauya na wengine walikua very cooperative. But kuna baadhi ya maeneo kipindi cha mvua changamoto kufikika.
mazao yeyote utakayolima yanauzika hapa kwa Bashite kuanzia mahindi ya kuchoma, korosho, ufuta, mihogo, machungwa, minazi, maembe, passion, fenesi, papai kuku wa kienyeji etc. umeme umefika kata zote na karibu maofisa wote kata wamepewa pikipiki
suala la ulinzi na usalama hiyo changamoto ndogo sana maana inaonekana haiwalengi watumishi wa halmashauri.