unalimia seh gan mkuumimi nipo mkuranga ninalima papai na nimetoka huko bara mwanza mbona mambo yanasonga tu
Siku hizi maeneo mkuranga yamepanda sana, tofauti na kipindi cha nyuma heka. Mimi nilinunua laki 5 per acrekuna mzee anauza eneo lake nina polima heka 800000
maeneo gani mkuuSiku hizi maeneo mkuranga yamepanda sana, tofauti na kipindi cha nyuma heka. Mimi nilinunua laki 5 per acre
Niko karibia na kimanzichana unaingia kulia kijiji cha nyatangamaeneo gani mkuu
Kiparang'anda mkuumaeneo gani mkuu
Mkuu shamba ni bei gani huko?njoo kaka me nalima huku tutasaidiana
Kwa kukodisha mkuu, naomba pia kujua almost mpaka kuvuna nijipange kwa sh ngap?kuna mzee anauza eneo lake nina polima heka 800000
nipigie 0692809620Natafuta shamba maneo ya mkuranga wakuu mwenye nalo tushtuane kuanzia eka 3 hadi 5 kama unazo njoo DM