bab-D
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 1,215
- 322
Naomba mtu wakahama anijuze yafuatayo,
1)bei za mashamba yasiyo mbali na mjini kama km 4-10 toka mjini
2)upatikanaji wa maji katika maeneo hayo,
3)nimaeneo yanayo faa kwa kilimo cha bustani?
4)vp soko la mbogamboga na matunda kwa kahama likoje?
5)mji wa kahama unaulinganisha na wilaya gani mwanza kibiashara sengerema, geita,misungwi, magu, kwimba?
6)vp vyanzo vya maji kama mito na mabwawa vipo ambavyo maji yanapatikana mwaka mzima?
>Maswali yote yamelenga maeneo yaliyo km 4-10 toka mjini
nawakilisha