Fursa zote hujaziona mpaka ukalime ukwaju?
Ipo siku mtapanda na mibuyu.
Anyway mi nimekulia shy, ukwamaju ni miti pori kama ubuyu,ntarali,furu,mihama nk.
Tulikuwa tunaenda porini tunajichumia tani yetu tunarudi nyumban kukoroga jwisi na kuunga kwenye mboga.
Mkuu ukwaju unaota jangwani, chunya,dodoma,singida,shy, tabora nk. we tafuta jangwa panda usibiri miaka kumi uanze kuvuna.
Kibiashara tafuta watu wa huko wawe wnakukusanyia porini, haunaga bei mkuu.
Nilinunua soko la Mby ukwaju wa 2000 sado nzima mpaka umepata kuvu, je ukienda chunya au dodoma. Watz hawaupendi ukwaju, wanatumua sana limau.
Shy ulikuwa unatumika kwenye barafu, pamoja na ubuyu leo bakhresa kaiba ujuzi kaweka kwenye chupa.