Kilimo na soko la almonds

Ironiq

Member
Joined
Jan 3, 2019
Posts
6
Reaction score
6
Habari wakuu. Naomba kujua kuhusu kilimo na soko la almonds. Na ushauri kutoka kwenu kama ni kilimo cha kukimbilia hasa kwa binti kama mimi ambae ndo kwanza anaanza kilimo. Please nisaidieni kwa mawazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu. Naomba kujua kuhusu kilimo na soko la almonds. Na ushauri kutoka kwenu kama ni kilimo cha kukimbilia hasa kwa binti kama mimi ambae ndo kwanza anaanza kilimo. Please nisaidieni kwa mawazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
1. Binti mbegu utapata wapi?

2. Je! binti unayeanza kilimo hapa bongo hali ya hewa ya kustawi kwake inakubali mkoa gani?

3. Binti unayeanza masoko ni mengi sana kwa sababu nayaona kwenye ma super market na kwa kuwa yana ladha inayokaribiana na karanga ama korosho watu watependa kutafunatafuna hivyo jaribu waweza kufanikiwa , mazao ya supermarket siku hizi watu wanayalima tuu kama ma apple, bisi yale mahindi ya kukaanga na wewe anzishe hil ukianza kutoboa tutakuiga kama ilivyo tabia ya watanzania.
 
1. Nilishatafuta mtu akaniambia anauza miche kwa shs 3000.
2. Utafiti niliofanya ni kuwa unastawi popote penye mvua ya kiasi cha kati. Kama morogoro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliambiwa almonds ni zao lenye pesa sana kama ukiziweza changamoto zake ngoja wajuzi waje mi nabaki na nyanya zangu
 
Mimi nina rafiki yangu kutoka Australia anatafuta shamba hapa Tanzania hasa mikoa ya Morogoro au karibu na pwani ambalo litakuwa na maji ya kutosha, anahitaji ekari 1000 -2000 hivi, anataka kwajili ya kilimo cha Almond, pia atakuwa ananunua almond kutoka kwa wakulima wengine.

So itakuwa fursa sana kwetu. Kama unashamba usisite kuwasiliana nami Huko PM, Zao hili linazaa sana hapa kwetu, na ndani ya miaka mitatu almond zinakuwa tayari kwa kuvuna na mti wake hudum zaidi yya miaka 15.
 
Huyu alifanikiwa?
 
Akipewa hizo ekari nitafute. Tuna urasimu wa ajabu sana sisi WaTz na ndiyo maana sekta ya kilimo haina uwekezaji wa maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…