Kilimo na ufugaji

Kilimo na ufugaji

Replies

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,497
Reaction score
452
Wadau karibuni Kwa picha zaidi kuonyesha jinsi KILIMO na Ufugaji kinavyowatoa wengine,inaweza kuwa wewe Leo karibu Kwa kitabu chochote cha Ufugaji na aina yoyote ya KILIMO.Piga simu 0758303090 ImageUploadedByJamiiForums1398520132.396054.jpgImageUploadedByJamiiForums1398520167.389328.jpgImageUploadedByJamiiForums1398520208.887380.jpgImageUploadedByJamiiForums1398520282.990064.jpgImageUploadedByJamiiForums1398520318.689099.jpgImageUploadedByJamiiForums1398520420.236528.jpg
 
Una kitabu gani knachoelezea hatua kwa hatua za ufugaji wa layers (kuku wa mayai). Nataka hasa lini uwape dawa hii, lini uwabadilishie, banda liweje, usafi, ubora wa maji uwe vipi, magonjwa ya mara kwa mara, kinga na tiba zake na taarifa kama hizo.
 
Kitabu cha kitunguu na mboga zingine Kama kabichi,bilinganya,karoti,mchicha,Nyanya,pilipili hoho ni elfu tano tu(5000/=)
 
Una kitabu gani knachoelezea hatua kwa hatua za ufugaji wa layers (kuku wa mayai). Nataka hasa lini uwape dawa hii, lini uwabadilishie, banda liweje, usafi, ubora wa maji uwe vipi, magonjwa ya mara kwa mara, kinga na tiba zake na taarifa kama hizo.

Kitabu cha Ufugaji bora wa kuku wa kisasa wa nyama na mayai kipo na kinaelezea kila ulichoainisha hapo juu,mbali na hicho kuna cha Ufugaji bora wa kuku wa kienyeji pia Kwa bei ya 5000 tu
Karibu
 
Nashkuru ngoja ntakupigia simu kwa maelezo zaidi.
 
Angalia avatar mkuu vingine picha ntaweka taratibu
 
Kitabu cha Ufugaji bora wa kuku wa kisasa wa nyama na mayai kipo na kinaelezea kila ulichoainisha hapo juu,mbali na hicho kuna cha Ufugaji bora wa kuku wa kienyeji pia Kwa bei ya 5000 tu
Karibu

Nahitaji... 0715719171
 
Back
Top Bottom