Una kitabu gani knachoelezea hatua kwa hatua za ufugaji wa layers (kuku wa mayai). Nataka hasa lini uwape dawa hii, lini uwabadilishie, banda liweje, usafi, ubora wa maji uwe vipi, magonjwa ya mara kwa mara, kinga na tiba zake na taarifa kama hizo.
Kitabu cha Ufugaji bora wa kuku wa kisasa wa nyama na mayai kipo na kinaelezea kila ulichoainisha hapo juu,mbali na hicho kuna cha Ufugaji bora wa kuku wa kienyeji pia Kwa bei ya 5000 tu
Karibu
Kitabu cha kitunguu na mboga zingine Kama kabichi,bilinganya,karoti,mchicha,Nyanya,pilipili hoho ni elfu tano tu(5000/=)
Kitabu cha Ufugaji bora wa kuku wa kisasa wa nyama na mayai kipo na kinaelezea kila ulichoainisha hapo juu,mbali na hicho kuna cha Ufugaji bora wa kuku wa kienyeji pia Kwa bei ya 5000 tu
Karibu