Kilimo ni biashara pekee inayolipa kwa 100%

Mkuu ilogelo hivi kwa heka unaweza kupata gunia ngap???
 
Sundoka, umemjibu vyema huyu tomaso...
Jamaa anatoa ushuhuda yeye anataka afanye utafiti.
Kwasasa wakulima watarudisha heshima kwani biashara zingine zinasuasua, kupata hasara ni jambo la kawaida lkn kilimo ni biashara yenye uhakika wa soko. Mtua atajinyima kununua nguo na mengineyo lkn hawezi kukwepa kununua chakula
 
Msije mashambani jamani hakulipi, endeleeni kufanya "utafiti" hivyohivyo!
 
Bei ya mahindi nilipo last week ilikuwa mia5 kwa kilo, jana nimepigiwa simu na mtu wa mtwara anataka anunue shamba zime atavuna yeye then tutapima atanilipa mia720 kwa kilo nimemwambia aendelea kungoja!
 
mkoa gani huo mkuu ?
 
Tatizo watu wanakata tamaa kabla ya kujaribu,wanapenda maisha ya kuzunguka kwenye kiti maofisini. I
Mnaopenda viti vya kuzunguka tutawajua tu kwa miandiko yenu. Bakini huko huko maofisini mkifanya research. Mkija shamba mtachafuka mwaya.
 
Mkuu wengi wa walioingia hasara katika kilimo ni wale wako ofisini kisha wanaagiza watu wawalimie. Hebu kwenye kilimo hesabu ni kosa namba moja, hiyo lazima ile kwako.
Nilipata hasara kwa staili hii sitakuja kusahau
 
Bei ya mahindi nilipo last week ilikuwa mia5 kwa kilo, jana nimepigiwa simu na mtu wa mtwara anataka anunue shamba zime atavuna yeye then tutapima atanilipa mia720 kwa kilo nimemwambia aendelea kungoja!
Unadhani itaendelea kupanda mkuu?? Kilimo hakipo hivyo, ndani ya siku mbili price difference inaweza kuwa kubwa sana tena uelekeo wa negative
 
Hahahaa, kweli kabisa Mkuu, wasije shamba, waendelee kufanya upembuzi yakinifu!
 
Unadhani itaendelea kupanda mkuu?? Kilimo hakipo hivyo, ndani ya siku mbili price difference inaweza kuwa kubwa sana tena uelekeo wa negative

Wewe unalimia wapi ndugu?
Kama kweli unalima (mahindi), wala usingeuliza hilo swali. Mwaka huu bei itafika au kukaribia elf1300-1500 kwa kilo, mark this thread then njoo uniulize January 2018.
 
Sure the most dangerous risk is not taking any risk
 
Mahindi gunia moja wastani wa kilo 108 ni shilingi 90000 hadi 110000 . Na haitoshuka chakula hakipo kabisa .
 
Tatizo nipo Dodoma yaani apa naona mapicha picha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…