unalimia mkoa gani mkubwa naachana na mpunga naingia kwenye mahindi msimu huu unaokuja nijibu hata kwa pmWewe unalimia wapi ndugu?
Kama kweli unalima (mahindi), wala usingeuliza hilo swali. Mwaka huu bei itafika au kukaribia elf1300-1500 kwa kilo, mark this thread then njoo uniulize January 2018.
Hebu tuambie biashara ambayo uwezekano wa faida mara zote ni 100%, nasubiri jibu!Na ni biashara pekee ambayo unaweza ku-incure loss kwa % 100, muda wowote maana ni kama lamli kutokana na production factors ambazo saa ingine zinakuwa beyond of the producer control.
1.ukame
2.mafuriko
3.seedborn disease
4.soil born disease
5.soko
Uko sahihi kabisa kwamba hakuna biashara yenye faida kwa %100, automatically hasara zipo pia kila aina ya biashara.Hebu tuambie biashara ambayo uwezekano wa faida mara zote ni 100%, nasubiri jibu!
Uko sahihi kabisa kwamba hakuna biashara yenye faida kwa %100, automatically hasara zipo pia kila aina ya biashara.
Swali langu, kilichomuzuia mleta uzi kutuwekea vikwazo/changamoto tutakazokumbana nazo ni kipi ilihali kabisa kukutana na hasara kunawezekana?!?!
Ukifatilia vizuri conversation unaweza kuelewa kinachoongelewa ni kipi!
Kuna kilimo cha uhakika wa kuvuna na kupata faida lakini with high cost of investment(green house).
Kilimo cha ramli ambacho kinategemea uwezeshaji wa mwenyezi MUNGU kina matokeo mawili, faida sana au hasara sana maana kuna p/factors zitakuwa nje ya uwezo wa mkulima.
Sasa kilichoongelewa na mleta uzi ambacho nimejaribu kukinzana nacho ni ule ushawishi wa watu waingie shambani bila kufanya uchunguzi wa vikwazo watakavyo kutana navyo huko shambani kulingana na uhalisia wa kazi yenyewe.
utakuwa unaongelea ajira za serikalini,wapo watu wanakamata mpaka mil 20 kwa mwezi we unaongealea mil 3 kwa miezi 3 ambapo ni wastani wa kama laki 7 na nusu tu,umewahi kumuona mkulima gani anaendesha range rover vogue?njoo mjini huku utazikuta kama nyjugu,kilimo ukitaka labda uwe dalali lakini ukishika jembe we ni masikini tu,ulishaambiwa kilimo ni uti wa mgongo na si vinginevyoKuna watu wapo busy kuhangaika kutafuta ajira serikalini na mashirika binafsi, wengi hufikiri kuwa wanaweza kutoka kwa kuajiriwa, vijana wengi wanaogopa kujihusisha na kilimo aidha wanafikiri kuwa kilimo hakilipi na wajanja waliopo huko hawawambii wenzao kuwa kilimo kinalipa.
Nitoe ushuhuda kidogo mwezi wa 9 mwaka jana nimelima ekari mbili gharama haikuzidi laki 5 lakini nimeuza mahindi hayo zaidi ya milioni 3. Na bado mengine nikaacha kwa ajili ya chakula, hebu fikiria sasa ni biashara gani ya laki tano ambayo unaweza ifanya kwa mtaji wa laki tano ukapata mil 3 kwa muda wa miezi 4 kwa kifupi haipo.
Mishahara mingi ya waajiriwa wenye shahada ni 450,000/=(kwa wale wenye mikopo) na 560,000/= kama huna mkopo, sasa tufanye hesabu fupi tuchukulie uhalisia kwamba vijana wengi wamesoma kwa mkopo, 450,000 ukilipia nyumba, umeme, maji na matumizi mengineyo unajikuta haifiki tarehe kumi tano unaanza kukopa tena, lakini ukichukua 450,000×12 =5,400,000/= kwa mwaka mzima, hii pesa kwa mkulima ni msimu mmoja tena huyo ni mkulima mdogo kabisa na kwa mwaka kuna misimu miwili.
Ushauri wangu kwa vijana tujaribu kuwekeza kwenye faida yake ni kubwa lakini pia kilimo ni mradi endelevu, idadi ya watu inazidi kuongezeka hivyo mahitaji ya chakula ni mengi kuliko idadi ya watu.
Hiyo green house ni moja ya mfano tu upande wa horticultural crops, lakini kwa upande wa field crops kwa mkulima alieoko karibu na chanzo cha maji anaweza kutumia drip irrigation ikamsaidia kwa ku-run faida atakuwa amemzidi anaelima ekari 100 kwa kutegemea mvua. kama atafanya drip irrigation kwa ekari 10 atamzunguka mara mbili huyu anaebahatisha.Kama unaongelea nyanya za kwenye green hous sawa, mimi silimi bustani mkuu nalima shamba. Huku nilipo mvua siyo tatizo, zinanyesha timely bila shida kabisa, na ardhi bado ina rutba. Na mimi nilikuwa mwoga hvohvo, nakushauri utembelee maporini, sisi wa vijieka hamsini mia ni watoto tu, kuna Mzimbabwe huku analima maelf ya maekari kwa kutegemea mvua hiihii.
Naona wewe huelewi mwenzako anajaribu kukwambia nini na kaa ukijua kuwa mkulima mwenye vifaa vyake na analima mashamba makubwa kamwe huwezi kumlinganisha na mkulima anaelima vijishamba vidogo na kuweka hiyo miundo mbinu unayoisemea em tembea ujionee broHiyo green house ni moja ya mfano tu upande wa horticultural crops, lakini kwa upande wa field crops kwa mkulima alieoko karibu na chanzo cha maji anaweza kutumia drip irrigation ikamsaidia kwa ku-run faida atakuwa amemzidi anaelima ekari 100 kwa kutegemea mvua. kama atafanya drip irrigation kwa ekari 10 atamzunguka mara mbili huyu anaebahatisha.
Hongera kwa kuingia shamba mkuu na kama eneo lako halina vikwazo vingi ni kheri.
Sikuwa na lengo la kukatisha watu tamaa bali kuwaambia ukweli wa mambo ulivo.
Naona una ubishi wa asili, rejea uzi unaeleza nini halafu urudi kusema iki unachokisema.Naona wewe huelewi mwenzako anajaribu kukwambia nini na kaa ukijua kuwa mkulima mwenye vifaa vyake na analima mashamba makubwa kamwe huwezi kumlinganisha na mkulima anaelima vijishamba vidogo na kuweka hiyo miundo mbinu unayoisemea em tembea ujionee bro
Halafu naomba uwe na kumbukumbu mkuu, kwa maelezo ya mleta uzi production cost ilikuwa 500k/2 acres. Kutokea hapa akatushawishi tuingie kwenye kilimo kumbuka huyu mtu kapata faida kwa bahati nasibu kama angekutana na vikwazo angekuwa anaongea mengine.Naona wewe huelewi mwenzako anajaribu kukwambia nini na kaa ukijua kuwa mkulima mwenye vifaa vyake na analima mashamba makubwa kamwe huwezi kumlinganisha na mkulima anaelima vijishamba vidogo na kuweka hiyo miundo mbinu unayoisemea em tembea ujionee bro
Hiyo green house ni moja ya mfano tu upande wa horticultural crops, lakini kwa upande wa field crops kwa mkulima alieoko karibu na chanzo cha maji anaweza kutumia drip irrigation ikamsaidia kwa ku-run faida atakuwa amemzidi anaelima ekari 100 kwa kutegemea mvua. kama atafanya drip irrigation kwa ekari 10 atamzunguka mara mbili huyu anaebahatisha.
Hongera kwa kuingia shamba mkuu na kama eneo lako halina vikwazo vingi ni kheri.
Sikuwa na lengo la kukatisha watu tamaa bali kuwaambia ukweli wa mambo ulivo.
Green house nimeituma kama mfano upande wa horticultural crops ambayo pia ni mazao yanayolimwa sana na wakulima kwa njia mbili, ile ya wazi na ya kutumia green house ila kama umeubeba mfano kwa mazao yote basi hiyo ni juu yako kulingana na hisia zako.Kawaida Mkuu, challenge kwenye kilimo ziko nyingi, zikiwemo za kukutana na "wataalam" mbalimbali wanaokupa mawazo tofautitofauti yanayochanganya, ukiwafuata sana unaweza kukata tamaa, kumbe wengine utaalam wao ni wa nyuma ya keyboard tu hawajawahi kulima hata tuta la mchicha. Mimi nalima mahindi mkuu, na hakuna mtu anayeweza kunishawishi nilime mahindi yangu ndani ya green house, nia yangu ni kukua niweze kulima thousands of acres, sijawahi kuona mashamba makubwa ya mahindi yanalimwa ndani ya green house, wazalishaji wakubwa wanafanya open field!
Green house nimeituma kama mfano upande wa horticultural crops ambayo pia ni mazao yanayolimwa sana na wakulima kwa njia mbili, ile ya wazi na ya kutumia green house ila kama umeubeba mfano kwa mazao yote basi hiyo ni juu yako kulingana na hisia zako.
Lakini kwenye field crops kuna alternative nyingine ya drip irrigation ili kujihakikishia usalama wa pesa unayoiwekeza kama ni nyingi kwa kutumia huu mlango hutaweza kuipoteza kirahisi.
Niseme tu kuwa agricultural consultation ni muhimu kama unafanya na watu wanaoifanyia kazi taaluma yao kwa vitendo, pia agricultural consultation huwa haitoki sehemu moja inaenda hadi kwa wakulima wanaozunguka shamba lako.
Nina wasiwasi utakuwa unafanya agricultural consultation kwa njia ya mtandao, kama ni ivo basi lazima ukutane na wakulima paamoja na wataalamu wanaolima kwa kutumia google.
Wewe utakua daudi bashite si daud the farmer nakusisitizia kuwa lazima uwe na kichwa cha kuelewa unafahamu kuwa hata USA na Urusi ambako unaambiwa ukilima eka 1000 unapoteza muda unajua kwamba wanategemea mvua hii si hizo drip systems, hizo drip kwenye mahindi ni yale mahindi ya kuchoma yanayouzwa vipisi vipisi hapa kinaongelea kilimo cha mahindi ya biashara. Tatizo lenu nyinyi wakulima wadogo wadogo wa mjini mnaujuaji mwingi sana, sasa mvua inanyesha hizo drip za nini tenaGreen house nimeituma kama mfano upande wa horticultural crops ambayo pia ni mazao yanayolimwa sana na wakulima kwa njia mbili, ile ya wazi na ya kutumia green house ila kama umeubeba mfano kwa mazao yote basi hiyo ni juu yako kulingana na hisia zako.
Lakini kwenye field crops kuna alternative nyingine ya drip irrigation ili kujihakikishia usalama wa pesa unayoiwekeza kama ni nyingi kwa kutumia huu mlango hutaweza kuipoteza kirahisi.
Niseme tu kuwa agricultural consultation ni muhimu kama unafanya na watu wanaoifanyia kazi taaluma yao kwa vitendo, pia agricultural consultation huwa haitoki sehemu moja inaenda hadi kwa wakulima wanaozunguka shamba lako.
Nina wasiwasi utakuwa unafanya agricultural consultation kwa njia ya mtandao, kama ni ivo basi lazima ukutane na wakulima paamoja na wataalamu wanaolima kwa kutumia google.
Zaman kilimo kilifanyika shamban, lakin siku hizi ni limia dole......wee nenda kichwa kichwa na mkopo wako au mtaji wako shamban bila kujua nn unaenda kulima na soko lake likoje, nakumbuka hadithi za tikiti maji kila sehemu ilikuwa tikiti maji tikiti maji..........watu wakalima kwa wingi adi kusababisha mafuriko ya matikiti maji kwenye masoko. .............
(Hahahaha daud bashite tena mkuu!!)Wewe utakua daudi bashite si daud the farmer nakusisitizia kuwa lazima uwe na kichwa cha kuelewa unafahamu kuwa hata USA na Urusi ambako unaambiwa ukilima eka 1000 unapoteza muda unajua kwamba wanategemea mvua hii si hizo drip systems, hizo drip kwenye mahindi ni yale mahindi ya kuchoma yanayouzwa vipisi vipisi hapa kinaongelea kilimo cha mahindi ya biashara. Tatizo lenu nyinyi wakulima wadogo wadogo wa mjini mnaujuaji mwingi sana, sasa mvua inanyesha hizo drip za nini tena
Umwagiliaji si lazima iwe drip kama ulikalilishwa, kuna furrow mkuu pia inatumika.Wewe utakua daudi bashite si daud the farmer nakusisitizia kuwa lazima uwe na kichwa cha kuelewa unafahamu kuwa hata USA na Urusi ambako unaambiwa ukilima eka 1000 unapoteza muda unajua kwamba wanategemea mvua hii si hizo drip systems, hizo drip kwenye mahindi ni yale mahindi ya kuchoma yanayouzwa vipisi vipisi hapa kinaongelea kilimo cha mahindi ya biashara. Tatizo lenu nyinyi wakulima wadogo wadogo wa mjini mnaujuaji mwingi sana, sasa mvua inanyesha hizo drip za nini tena