Kilimo ni biashara, tumia mbolea bora kwa mazao mengi

Joined
Mar 14, 2014
Posts
90
Reaction score
6
SUPER GRO
*********************
Super gro ni bidhaa ya mimea.
kazi zake:
-inatunza unyevunyevu
-inaimarisha mmea
-inaongeza mavuno yani uzito,wingi na ukubwa
-haibagui mmea
-inafanya kazi kwa mmea wowote
-inapunguza gharama za kilimo hadi nusu
-inaongeza faida
-haibagui udongo
-ni rahisi kutumia
-haina madhara ya kemikali
-Haiwakii moto

*imetengenezwa na vitu asili

*UMWAGILIAJI
kipindi cha kiangazi interval ya siku saba
kipindi cha masika
interval ya siku 14.
Anza kumwagilia siku ya 3 baada ya kupanda then itategemea na msimu ili kujua unamwagilia kwa interval ipi.

-mwagilia mpk mmea ukitoa maua au mbelewele mf. mahindi aftr that acha ili uzae vzr.



*UCHANGANYAJI
-kila 1ml/cc ya super gro itachanganywa na lita moja ya maji

yani 1ml:1lita
10ml:10 lita
20ml: 20 lita

*hivyo dumu 1 linaweza tumika hadi ekari 10-15..
utaokoa gharama za mifuko ya mbolea za chumvichivi mitano.
kwa kutumia supergrow.
kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa
0766789288
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…