Kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania

Kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi wa Tanzania

Wabike kenedy

New Member
Joined
Jul 17, 2021
Posts
3
Reaction score
0
kilimo kinachangia zaidi ya 27% ya pato la taifa.

kilimo kimetoa ajira kwa zaidi ya watanzania 75%.

pamoja na umuhimu huo kilimo kinachofanyika hakimnufaishi mkulima na kumfanya ajikwamue katka wimbi la umaskini kwa sababu zifuatazo:
1. bei za mazao kua chini.

2. gharama za pembejeo za kilimo kua juu.

3. gharama za usafilishaji kua juu.

hivyo mkulima wa kawaida kila mwaka anapata hasara na kumdidimiza kimaendeleo.

sasa hua najiuliza
1., je mikakati inayopangwa kupunguza umaskini nchini hua sector gan inapewa kipaumbele?
 
Back
Top Bottom