Wazir wetu wa kilimo tembelea wakulima wa mahind,ludewa, songea, mbinga, Makambako, sio mnakaa ofisini tuu, tangu mfunge mipaka hakuna soko la mahind, sahiz mahind debe tsh, 3000,5000,kweli hi serikali ya wanyonge,hata soko la serikali hamna lengo lenu ni lipi haswa,, mtuletee masoko na bei elekezi kwa kilo kaa tulivyo zoea,,,