Kilimo ni uti wa mgongo

kakangale

Member
Joined
Oct 18, 2018
Posts
13
Reaction score
4
Usemihuwo una mantiki sana, japo vijana tunajipotezea tujiulize ni kwanini? Wakoloni walikuja kulima mazao mbalimbali,walichukia ardhi yenye rutuba, wakaanzisha propaganda chafu tuchukie kilimo tuamke sasa,kila kitu ni ardhi tuamke sasa
 
Naona tungeanza na kilimo cha umwagiliaji ukuchimba maji lazima ulipe nashangaa hii sera
 
Wazo zuri umefika sasa wakati wa kutatua changa moto mfano sasa hivi mchele wa kyela unalimwa vietinam na ndio nchi ya kwanza ,duniani kwa sasa inayoo uzaa mchele duniani
 
Hiki cha kizamani cha kutegemea mvua ni U.T.I ya mgongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…