sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,988
- 4,152
Naomba msaada kwa wataalamu wa Kilimo, huu ugonjwa wa inzi kushambulia matunda dawa yake ni nini unaitwaje?
Yaani kila tunda linalotoka hushambuliwa na wadudu kama picha inavyoonesha, nimeona inzi wakizunguka zunguka maeneo ya tunda
Hapo chini ni picha ya tunda la stafeli na mapera yenye hii shida
Sent using Jamii Forums mobile app