sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,988
- 4,152
Pole sana mkuu,hao ni wadudu wanaitwa MEALBUGS tumia viuadudu kati ya DuduAll au dudumectin au spidex au bamic..Rudia kila baada ya siku saba hadi waishe shmbani.Naomba msaada kwa wataalamu wa Kilimo, huu ugonjwa wa inzi kushambulia matunda dawa yake ni nini unaitwaje?
Yaani kila tunda linalotoka hushambuliwa na wadudu kama picha inavyoonesha, nimeona inzi wakizunguka zunguka maeneo ya tunda
Hapo chini ni picha ya tunda la stafeli na mapera yenye hii shida
View attachment 1046295View attachment 1046296
Sent using Jamii Forums mobile app