Kilimo Smart survey 2019

Coster1

Member
Joined
Jul 19, 2016
Posts
48
Reaction score
11
Habari wana Jamvi.
Naitwa Costantine Edward ni Co-founder na C.E.O wa kilimo smart app, kwanza napenda kutoa kheri ya mwaka mpya 2019 kwenu nyote.
Lengo: kilimo smart ni application ambayo inapatikana playstore yenye lengo la kumsaidia mkulima kujikwamua kiuchumi na kuona tija ya kilimo kwa kupata taarifa sahihi za masoko na mbinu bora za kilimo na ufugaji.

kuelekea mwaka mpya 2019 kilimo smart inapenda kuboresha huduma zake kwa wakulima hivo basi tumeandaa maswali machache sana ambayo yatatusaidia kuandaa huduma ambayo itakusaidia zaidi moja kwa moja

click HAPA kujaza hii survey
 
Nimeshajaza fomu,kwa hiyo baada ya hapo inakuwaje sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…