Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 410
Hasara kubwa ya uyoga ni kujua upi unaliwa na upi hauliwi. Kuna uyoga ni sumu na unaweza kudhuru na hata kuua. Lakini ikiwa unauzwa, nadhani muuzaji atakuwa ni mtaalamu wa kujua kile anachofanya.
Aina maarufu ya uyoga unaoliwa ni hii:
View attachment 48820
Ukiwachia hatari hizo, uyoga una virutubishi kama vile: Vitamins B1, B2, B3, B5 na Vitamin C, Calcium, Phosphorous, Potassium, Sodium na Zinc
they are rich in proteins...so hata kwa mambo flani zinafaa...
mbaya ni kua ipo mingine ina asili ya sumu...siifaham!
ni hayo tu.
huu unafanana na huu wa kwako lakini una sumu mbaya kabisa........inahitajika hekima na busara kuchagua uyoga.....
btw......u hali gani....?
Uyoga mzuri lakini mtihani sana. Tulipokuwa watoto tulikuwa tunajilia tu na Mungu alitulinda. Hivi sasa kama sikuukuta Supermarket, wa kuokota mimi mwenyewe msituni siutaki. Kuna aina hii hatari sana. Wengine wanautumia kama dawa ya kulevya:
View attachment 48822
Mimi mzima, asante sana.
Ugonjwa wa nguvu za kiume ni nomaaaa!!!!
imekuaje tena hapa...
Kwa hivyo sikushauri uule mkuu kabala ya kuthibitiha kama una sumu au la.Afu huo unafanana na nilio ununua baadhi ya majani yake...
Kwa hivyo sikushauri uule mkuu kabala ya kuthibitiha kama una sumu au la.
Unaweza kupika uyoga kwa kutumia maziwa kama sehemu ya receip, lakini usiamini 100% kuwa maziwa hayo yanaweza kuondoa sumu yote ikiwa kweli una sumu. Halafu sumu za uoga zinatafautiana na aian ya uyoga wenyewe.