Kilimo/ufugaji cha/wa samaki

zethumb

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
610
Reaction score
137
Nimepata eneo ni dimbe/swamp nafikiria kupachimba nifuge samaki
sehemu yenyewe haina mto karibu ila chem chem zake zinachukua muda kukauka baada ya mvua kwisha mwezi may!
naombeni ushauri jinsi gani bora kufanikisha zoezi hili.na je chakula hasa cha samaki ni nini?
niko mkoa wa Lindi wilaya nachingwea..
wataalam tafaadhali...
n
 
Mm ni mtaalam wa mambo ya samaki chakula cha samaki inategemea na samaki unaetaka kufiga na pia maji lazima utafute wataalam wa idara iyo wanajua jinsi yakukusaidia maana mpaka nione eneo lenyewe ndo nijue nakupatia njia gani ya ufugaji samaki
 
asante ndugu Abayo! eneo langu ni dimbe/mbuga yenye chemchem! natarajia kufuga samaki maji baridi, stagnant water inaweza kutumika kufugia? asante...
 
Poa poa ila uangalie mwenye akili timam watu wengine hawapendi maendeleo
 
Mm ni mtaalam wa mambo ya samaki chakula cha samaki inategemea na samaki unaetaka kufiga na pia maji lazima utafute wataalam wa idara iyo wanajua jinsi yakukusaidia maana mpaka nione eneo lenyewe ndo nijue nakupatia njia gani ya ufugaji samaki
natafuta vifaaranga vya samaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…