Adam tuga
New Member
- Aug 28, 2022
- 1
- 0
Ni majira ya Saa Kumi na Mbili jioni anaonekana Kijana mwenye furaha huku mbele yake kukiwa na watu takribani kumi na nane furaha hiyo inakuja pale kijana Shahibu Abdallah anayefahaamika kwa jina la SHEBY THE DON kufanikisha ndoto ya Familia yake kupata Elimu ya juu kwa wadogo zake wawili Nuru na Salama na Kijiji chao kupata maendeleo katika Nyanja ya kilimo na Ufugaji pia kuwajengea nyumba wazazi wao huko madale na ndiyo wapo kwenye sherehe ya ufunguzi wa nyuma hizo.
Miaka Takribani Thelasini na Tano iliyopita Shahibu na Wazazi wake walikuwa wakiishi Kijijini Tunduru Mkoa wa Masasi Shahibu alimaliza Masomo ya Shule ya Msingi yaani Darasa la Saba katika Shule ya Msingi Kaza Mwendo, Wazazi wake hawakuwa na fedha za kumuendeleza kimasomo japo kuwa shahibu alifauru masomo yake ya Shule ya Msingi huku wadogo zake Nuru na Salama wao wakiwa bado shule ya msingi kutokana na wazazi wake kushindwa kumlipia Ada ya kuendelea na Masomo aliamua kujikita kwenye Kilimo cha Mbogamboga na Matunda maana wazazi wake walikuwa na maeneo makubwa ya Ardhi hivyo hakusita kupambana kwenye Kilimo.
Alilima Mboga Mboga na Matuna na kuuza kwenye Soko la Kijijini kwao kwa kipindi kirefu Fedha alizopata alizitunza na nyingine alisaidia Wazazi wake na Wadogo zake huku lengo lake kutafuta Ada ya kujiendeleza na masomo pamoja na kujishughulisha na kilimo pia hakuacha kwenda kupiga stori na rafiki yake Tuga amabaye alimaliza naye Shule ya Msingi ambaye alifauru naye lakini yeye wazazi wake walikuwa na uwezo ana walimlipia Ada na alikuwa akiendelea na masomo licha ya kuwa Shahibu hakupata nafasi ya kuendelea na masomo lakini alikuwa akipata nafasi ya kujifunza pamoja na rafiki yake huyo kila ifikapo jioni alikuwa akisoma naye pamoja nyumbani kwao, Miaka Miwili baadae serikali ikatangaza kuanzisha mafunzo maalumu kwa vijana yatakayowasaidia kujiendeleza kiuchumi Amabayo yalikuwa yakifadhiliwa na Shilika moja la watu wa Swiden na kijana Shahibu alijiunga na masomo hayo kwenye Nyanja ya Kilimo alijifunza bila kukata tamaa na kufanikiwa kutunukiwa Cheti cha Mafunzo kutokana na ustadi wake kwenye masomo.
Wale Maafisa waliokuwa wakitoa mafunzo walimpenda na waliporudi wilayani walimjadili kijana Shahibu kuweza kumsaidia ili apate Elimu zaidi, kuanzia hapo ndipo maisha ya kijana Shahibu yalianza kubadilika kwani alipatiwa nafasi ya kusoma kidato cha kwanza katika shule ya sekondari iliyopo Kijijini kwao kupitia udhamini wa Shirika Moja la Maendeleo hambalo walimjadili kwa kipindi kifupi na kuona anweza kuwa mfano wa kuigwa Katika Kijiji chao, hivyo kijana Shahibu aliendelea na masomo yake ya Sekondali na kufanikiwa kumaliza Kidato cha Sita na kufauru kujiunga na chuo kikuu ambapo alichaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu Dar es salaam (UDSM) akichukua maosomo ya Sayansi za Kilimo na Teknolojia.
Haikuwa vigumu kwake kufika na kuyaanza masomo kwani rafiki yake ambaye alikuwa akimsaidia kimasomo alipokuwa Kijijini na ndiye aliyemaliza naye Darasa la Saba yaani Tuga naye alikuwepo pale Chuoni UDSM lakini yeye akiwa mwaka wa mwisho wa masomo yake ya Uwakili aliyokuwa akisomea hivyo ilimfanya ajisikie mwenye nguvu na alianza masomo yake kwa bidii hilehile baada ya miaka kadha alihitimu masomo yake na kupata shahada yake ya Sayansi za Kilimo na Teknolojia na hatimaye akarejea Kijijini kundelea na shughuli zake kwani wakati alipokuwa chuoni hakuacha kabisa biashara yake yake ya kilimo kwani alikuwa akisaidiwa kusmamia mashamba yake na wadogo zake nuru na salama ambao walikuwa wakisimamia vyema masahamaba ya kaka yao ambayo pia ni Familia yao kwani hela za kununua sale zao za Shule pamoja na kujikimu kwenye Familia ilitoka shamabani hapo.
Kutokana na Elimu aliyoipata Shahibu aliendelea kupanua wigo wa kujiendeleza na Kilimo kwa kuamua kulima kisasa, Safari hii aliamua kupanda Miembe ya kisasa na mokorosho huku wakitumia gari maalumu la kulimia yaani trekta taratibu maisha ya familia ya Shahibu na wazazi wake yalianza kubadilika na hatimaye shahibu alifungua maduka ya pembejeo na kilimo hapo Kijijini kwao na pia alianzisha mafunzo ya kilimo cha kisasa kwa Wanakijiji wa Kijijini kwao bila ya wakuwatoza ada za mafunzo, alikuwa akitembela mashamba ya Wanakijiji wenzake na kuwashauli kulima kisasa na kitaalamu kwani kilimo cha kisasa ni kilimo chenye tija na chenye kuongeza kiapato.
Kijiji kilianza kunufaika kutokana na elimu waliyopatiwa na kijana Shahibu amabaye kwa sasa alionekana kukua zaidi kuelekea kwenye ubaba ndipo alipohamua kumuoa msichana amabaye alikutana naye Dar es salaam akiwa masomoni binti huyo aliyekuwa akisomea udaktari wa wanyama aliyefahamika kwa jina la Zainabu Shabaan.
Hakika alikuwa ni binti mzuri na mwenye heshima na wazazi wa shahibu hawakusita kumpenda naye aliwapenda pia baada ya ndoa yao kupita waliendelea na masiaha yao wote kwa pamoja wakijikita kwenye kuendeleza kilimo na mifugo kwani wakati wa harusi yao baba na mama yake zainabu waliwazawadia ng’ombe wane watatu majike na mmoja dumena ndipo safari ya ufugaji ilipoanza kwa kundelea kununua mbuzi pamoja na kuku pia.
Huku wadogo zake na Shahibu yaani Nuru na Salama walifanikiwa kumaliza kidato cha sita nao walichaguliwa kujiunga na masomo katika vyuo viwili tofauti nuru akichaguliwa kujiunga chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA)katika masomo ya Elimu na Salama akichaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) katika masomo ya Sheria.
Kutokana na maisha ya bwana Shahibu kuwa na mafanikio alijili vijanaa wengi kutoka kijijini kwao na vijiji vya jirani Shahibu na familia yake walianzisha kampuni inayojihusisha na masuala mazima ya kilimo na ufugaji na kuhamia Dar es salaam, na walipohamia Dar es salaam Shahibu na mkewe walifanikiwa kupata watoto wawili mapacha wa kiume na wa kike hivyo familia yao ikaongezeka safari hii walikuwa wakiishi goba na walikuwa wamejenga nyumba moja kubwa na walikuwa wakiishi na wazazi wa Shahibu yaani mama na baba yake shahibu hivyo maisha yao yalikuwa yenye kubarikiwa na wlikuwa na amarafiki wengi waliokuwa wakishirikiana nao kibiashara na kutokana na kuzunguukwa na marafiki wengi wenye kuwasaidia kibishara Shahibu alikuwa na ukwasi wa kutosha ndipo hapo marafiki zake walipompatia jina la SHEBY THE DON.
Shahibu na mkewe walinunua kiwanja maeneo ya madale na kujenga nyumba mbili kubwa za kisasa na wakaamua kufanya sherehe ya kujipongeza kutokana na kujituma kwao kwenye kutafuta maendeleo ila ilikuwa tofauti kabisa na sherehe za kawaida kwani sherehe hii iliambatana na kuwapatia zawadi za nyumba hizo wazazi wao, yaani wazazi wa Zainabu na wazazi wa Shahibu ikiwa ni alama ya shukrani kwao kwa malezi mema.

Upvote
1