chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Niliwahi kuongelea suala la hukumu, hasa za Mahakama Kuu kuandikwa na "vitoto" vya Mahakama za Mwanzo vilivyopachikwa majina "wasaidizi wa jaji" Na pia tabia ya majaji kuwa na vikosi vya mahakimu ambao huwaandikia hukumu, na wengine huwakodia mpaka vyumba vya hotel weekend wakafanye kazi hiyo. Yeye anabaki kusaini tu.
Hii imeleta rushwa kwa sababu hao watoto tunakaa nap mitaani, hawana mishahara mizuri, ukicheza naye vizuri anaweza kuharibu kesi. Hii ndio chanzo cha kesi kutoisha. Kesi inaamuliwa vizuri kabisa mahalama ya chini, ikiensa mbele inatafutiwa sababu za kijinga jinga ianze upya. Hakuna kanuni ya kisheria inayolazimisha Jaji azingatie overriding objective, kwa hiyo wanaiona kama urembo katika vitabu vya sheria.
Samia anapiteua Jaji na kumlipa mshahara mnono, anatarajia Jaji mwenyewe aweke akili yake na umahiri wake kwenye jalada. Kuna majaji ambao tangu wateuliwe, huoni hata "ofisa" mendez akirusha maamuzi yao, ni takataka tupu.
Wengi wa majaji wazuri ni wale wanaofanya vizuri ni waoe waliotoka nje ya mfumo wa Mahakama. Kwente hili hata wasaidizi wa Rais wamsaidie kwa kuchanganya benchi la Mahakama, lisikae na wale wa asili, hao ndio wamekwamisha kila kitu.
Juma sasa anajisifia majengo na sijui mfumo, ya nini sasa kama majengo hayatoi haki? Hizo sifa amuachie mtendaji wa Mahakama. Yeye aliteuliwa kutoa haki japo hajawahi kuandika landmark judgment yoyote kama walivyofanya akina Nyalali, Samata na Ramadhani.