CIA mgumu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2022
- 962
- 1,934
Habarini wakubwa na wadogo humu ndani.
Jamii forum ina kila aina ya watu humu ndani hivyo naomba leo kuwaletea kilio hiki watu wa pale bandarini naomba lifanyieni kazi hili jambo linatuabisha.
Madereva wa gari za IT na hata mizigo ya kawaida wanapokuwa wanasubiri taratibu nyingine za utoaji wa gari zao hapo bandari ya Dar es salam, ni kweli mmewajengea viti vya kukalia lakini je unaweza kukalia viti hivyo msimu wa mvua? Au jua?.
Kilio chao ni kwamba watengenezeeni kivuli na huduma ya choo, kwa choo wanasema wajeengeeni hata cha kulipia watalipa badala ya kuchafua mazingira na kukojoa hovyo, kuna pale karibu na kituo cha police mda mwingi huwa kinafungwa na hakina maji sasa mnataka waende wapi? Kwani tunashindwa kuweka mji wetu katika hali ya usafi ? Nyumba hata kama iwe nzuri vipi ikikosa choo haina maana tena.
Ndugu zangu wa bandarini hili nalo mnasubiri wanasiasa watamke kwanini hatuwezi kujiongeza?.
Jambo hili lifanyieni kazi haraka tunawaomba kabla hatujafikisha malalamiko yetu kwa wanasiasa.
Naimani ujumbe umefika ni mimi abiria wa IT nikiwa siti ya mbele kabisaa naenda zangu Ngara nipo kwenye BMW X6 huku dereva akiongea kwa uchungu mno