Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,790
- 2,232
Kwako waziri Bashe tunakwenda msimu mpya wa kilimo na wa pembejeo na tunaaambiwa mawakal ikifika tarehe 1mwezi wa 7 inabidi kusimama mpaka maelekezo mapya yatakapo toka tena.
Kilio changu mpaka sasa Mawakala hatujalipwa pesa zetu na ukiuliza makampuni wanakumbia hata wao hawajalipwa. Je, tutasubiri mpaka lini na pesa tunazihitaji na mawakala hatuna wa kutusemea endapo tutazulumiwa.
Mkuu Bashe tusaidie tulipwe haki zetu.
ASANTE