Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,790
- 2,232
Naweza kusema mawakala almost wote bado hatujalipwa na makampuni nayo hajalipwa na serikariSafi sana kiongozi umetumia njia sahihi kuwaclisha hoja yako.
Ungetaja mkoa na wilaya husika ingesaidia sana kiutendaji.
Siwezi kuamini kua nchi nzima mawakala wa pembejeo hawajalipwa.
Asante
Oh okay sawa hili limefika kwa wahucka watalifanyia kazi.JF ni sehemu sahihi.Naweza kusema mawakala almost wote bado hatujalipwa na makampuni nayo hajalipwa na serikari