mazikukulwa
Member
- Aug 13, 2011
- 39
- 3
- Thread starter
-
- #81
pole sana mkuu..kuwa confident na usiogope kuingia ofisi yoyote..omba appointment na mkurugenzi..secretary akiuliza kuhusu nini usiseme official sema personal issues..wewe ni nani kwake? Mwambie jamaa yake..in that way utafanikiwa kuonana na mabosi wengi...ukikutana nae mweleze ur story..mwambie kuhusu firm uliowai kufungua....nina uakika lazima utapata somebody who will be willing tu help you ata kuupa ushauri zaidi au kukuconect....najua it's hard but jaribu bcoz kuna watu nawafaham wamefanikiwa..
Daah this is very sad. Nimekutumia private email. I will see what i can do to help!
tupo pamoko mkuu wangu,usikonde mwana job utapata tu,hata mimi nilisugua sana bench kitaa,na wapo kibao wako stree hawana ishu,mshikaji wangu mmoja ye kaamua kuwa fund anapiga tofali mbez na bachelor yake mkononi,so stick kumwomba mungu one day yes
Salaaam, umepata kazi?Wadau salaamuuu...
<br />Wadau salaamuuu...
<br />
<br />
Wewe Maziku, I told u to send your CV to the mail above did u do so au ndio salaamu , salaamu? Pls send if interested.