Kilio cha WanaJF kimesikika, Matuta ya Lugalo barabara ya Bagamoyo yamepunguzwa

Kilio cha WanaJF kimesikika, Matuta ya Lugalo barabara ya Bagamoyo yamepunguzwa

Nimetoka zangu kwenye mishe zangu mjini late night sijapita ile barabara na week hv huwa natumia mwaikibaki ya kule chini. Sasa juzi nimepita nakutana na matuta yale yanayotuharibiA shockup nilimind sana.
 
Yale matuta yaliyokuwa kero pale Lugalo kwa kusababisha foleni, Baadhi yameondolewa, nimeona yamebaki moja kwa pande zote pale ambapo juction ya kuingilia Lugalo
JF ni kisima cha akili kubwa na kurunzi la mamlaka zote.. Hongera JF
 
Waree jamamaa zetu wanapenda kukomaa sanaa, yaani ukiingia kwa 18 zao unakula kichapo cha maana

hadi magari yetu walitaka nayo yapate mushikeliii,

kwa minajili ya muda nadhani ila kambi itahamia msata/wami na pale patabaki kua key informant area ya kijeshi
 
Yale mbona ya kawaida sana...

Kuna ze tutaz zipo Shekilango Rd, maeneo ya Mugabe, Mapambano na Palestina, zile tutaz ukijichanganya lazima upae...

Halafu kuna vijituta vipo vitatu barabara kutoka Mapambano kwenda Mori kupitia Wanyama, dah vile vidude nuksi sana...
 
Yale matuta yaliyokuwa kero pale Lugalo kwa kusababisha foleni, Baadhi yameondolewa, nimeona yamebaki moja kwa pande zote pale ambapo juction ya kuingilia Lugalo
bado yale ya tunduma kwenda sumbawanga, pia mpanda kwenda tabora, hasa eneo la sikonge kilo meter kama 100 hivi lakini vituta vile vidogo ni vingi hadi vinakera, vipo kama sehemu ishirini tofauti na vinakuwa kama vinne kila sehemu(one station)
 
Ungeona foleni iliyosababishwa na haya matuta nadhani ungejua uzito wa hili swala

Sijabeza hilo mkuu, pointi yangu pazeni sauti na kwenye mambo mengine kwa kuamini kuwa ushauri wetu unazingatiwa na mamlaka.
 
Back
Top Bottom