Foleni ni kitu kikubwa bwashee.Pigieni kelele mambo ya msingi, JF inaheshimika mno msiishie kulialia vitu vidogo namna hiyo.
JF ni kisima cha akili kubwa na kurunzi la mamlaka zote.. Hongera JFYale matuta yaliyokuwa kero pale Lugalo kwa kusababisha foleni, Baadhi yameondolewa, nimeona yamebaki moja kwa pande zote pale ambapo juction ya kuingilia Lugalo
bado yale ya tunduma kwenda sumbawanga, pia mpanda kwenda tabora, hasa eneo la sikonge kilo meter kama 100 hivi lakini vituta vile vidogo ni vingi hadi vinakera, vipo kama sehemu ishirini tofauti na vinakuwa kama vinne kila sehemu(one station)Yale matuta yaliyokuwa kero pale Lugalo kwa kusababisha foleni, Baadhi yameondolewa, nimeona yamebaki moja kwa pande zote pale ambapo juction ya kuingilia Lugalo
Sio vitu vidogo, yalikuwa yanahatarisha maisha, ingeweza kuwa nduguyo kupata madhara!! Sina uhakika kama yametolewaPigieni kelele mambo ya msingi, JF inaheshimika mno msiishie kulialia vitu vidogo namna hiyo.
Ungeona foleni iliyosababishwa na haya matuta nadhani ungejua uzito wa hili swalaPigieni kelele mambo ya msingi, JF inaheshimika mno msiishie kulialia vitu vidogo namna hiyo.
Ungeona foleni iliyosababishwa na haya matuta nadhani ungejua uzito wa hili swala
Yale matuta yaliyokuwa kero pale Lugalo kwa kusababisha foleni, Baadhi yameondolewa, nimeona yamebaki moja kwa pande zote pale ambapo junction ya kuingilia Lugalo.
---
Pia soma
- Foleni kali tokea Bagamoyo road kutokea Mwenge; Je, aliyeweka rasta na matuta mapya akapimwe akili?