NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Tatizo ni TCRA na Sheria zake.Mnajua fika nyie ni kampuni pendwa lakini mmekalia ukoloni na unyonyaji kwa Watanzania. Hivi kinachowafanya msiweke local chanels zote za Tanzania ni nini? Kama ITV, CLOUDS, STAR TV n.k mbona hazipo? Nimejaribu kuweka na redio za tanzania tena Nikiwa nimelipia dstv compact Hakuna Redio station hata moja ya kiswahili inayosikilizika kwa nini?
Vifurushi vyenu bei ghali na hakuna pay per view kwanini? Nasikia kwa mataifa kama NIGERIA na mengine ya kusini vifurushi viko chini kuliko tz sasa kwanini mtatunyonya Watanzania?
Nimejipanga kuwatosa hivi karibuni: Nimechoshwa na ukoloni wa kinyonyaji. CARD NUMBER 10133688852
MJIREKEBISHE AU LA SIVYO NGOJA NIULIZIE BEI YA AZAM TV DECORDER!
Anapata habari za kupikwa. Mtu kafa kwa korona local chanel zinasema ni changamoto ya kupumua. Aisee local channel kuna mambo? Watu wakizikwa lokooo chaneli hazitoi taarifa. Bashit akionekana hadharani ndio news
DStv ni demu wa getikali kama unakaa Kigogo utamsikia kwenye redio. Kachukue saizi yako unaoweza kuwanunukia supu ya utumbo. DStv mpaka ujipange mwana.Duh..we jamaa kama vile umelazismishwa banaa...kama ghali achana nayo kiroho safii..sisi wateja wao tunajua kwa nin hawana local chanel na tumelizika kiroho safii....dstv kama demu mkali ukiona anakutesa kummantain achana nae bro...! All the best kwa hayo malocal chanel mnayoyalilia wakati hayana hata mpya kila kitu kinapitia kwanza kwa mafisadi ndo kikufikiee.
Duh hamia Azam au startimesMnajua fika nyie ni kampuni pendwa lakini mmekalia ukoloni na unyonyaji kwa Watanzania. Hivi kinachowafanya msiweke local chanels zote za Tanzania ni nini? Kama ITV, CLOUDS, STAR TV n.k mbona hazipo? Nimejaribu kuweka na redio za tanzania tena Nikiwa nimelipia dstv compact Hakuna Redio station hata moja ya kiswahili inayosikilizika kwa nini?
Vifurushi vyenu bei ghali na hakuna pay per view kwanini? Nasikia kwa mataifa kama NIGERIA na mengine ya kusini vifurushi viko chini kuliko tz sasa kwanini mtatunyonya Watanzania?
Nimejipanga kuwatosa hivi karibuni: Nimechoshwa na ukoloni wa kinyonyaji. CARD NUMBER 10133688852
MJIREKEBISHE AU LA SIVYO NGOJA NIULIZIE BEI YA AZAM TV DECORDER!
Mkuu hapo mbona Kama sijakuelewaAzam ndio anajichelewesha tu.
Ashushe bei za ving'amuzi vyake ziwe kama DSTV.
Kisha wengi tuamie kwake. Pia atambue kuwa sio kila mtu ni muislam
Sent using Jamii Forums mobile app