Kilio changu kwa DSTV Tanzania

DstV ni king'amuzi cha kishua mkuu, we unalia lia badala utafute DstV ya level za kibongo ni Azam Tv tu!

Toka nmenunua king'amuzi cha sijawahi kujuta. Maisha ni murua kabisa kwa 10,000 ma channel kama yote na hata hela ikikata still unakutana na local channel zote free na kadhaa za nje zinabakia
 
..Wasamehe tu Mkuu hawana Kosa. Wamefikia kwenye nchi ambayo Mtoa huduma anaweza kuamua chochote anachotaka dhidi ya Wateja wake, na asifanywe Chochote!

Huyu alikuwa ni wa Kumuambia tu...NI LAZIMA UWEKE LOCAL CHANNEL ZA HAPA NYUMBANI KWENYE TV YAKO NA KAMA HUTAKI BASI FUNGASHA URUDI KWENU...Lakini katika viongozi wetu hawa tulio nao in Nani wa Kumfunga Paka Kengele???
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nunua sat receiver uta enjoy kinoma,hakuna kulipia ni free to air...
 
Hapa unazipataje mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nadhani hii ni kwa smart tv na si kila flat tv
 
Ukiona hadi leo DSTV ni gharama ujue hali yako kiuchumi bado ni mbovu hivyo unalazimisha tu unapaswa kubaki za local channels...ni sawa na kusema IST inakula mafuta ujue muda wako wa kumiliki gari bado..... swala la local channels kuoneshwa DSTV ni utaratibu wa urushaji matangazo Tz leseni ya DSTV hairuhusu wao kurusha local channels

Dstv wanachoboa tu ni kurudia mno vipindi
 
Siuna hama tu mzee baba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaacha kuwalalamikia tcra mnawalalamikia dstv. kweli nimeamini watanzania tunasahau haraka sana. au wewe ni mgeni hii nchi hadi ukumbuki chanzo cha local chanel kutolewa.
 
Receiver ni ya zamani ila cio mchezo..unapata local Chanel..free.na za njee kibao.ishu ni kumpata fundi,kuweka channel,baada ya apo ni ww 2 kuburudika.ila sometimes channel zina itaji update ya frequency,ni ishu ndogo una muita fundi arekebishe bac.
 

Attachments

  • IMG_20200501_014619_111.jpg
    43.9 KB · Views: 3
Tangu nimehamia dstv miaka 8 iliyopita sijawahi juta.
Local chanel zenyewe ni kuimba na kusifu tu hata pasipo na haja.

Habari za ndani nakunaza nazo hapa jf inatosha. Tena ni habari zisizopikwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Alafu sijui ni aina ya tv maana mimi hizo local Chanel zopogo tu na antena yake nyingine kabisa naona kama kawaida haihusiki na hiyo dstv nalipia kama kawa na local Chanel naona


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…