King mkucha
Member
- Oct 14, 2016
- 89
- 70
Jamani naombeni mnisaidie kama kuna mfugaji bata mwenye uzoefu.... bata wangu vifaranga huwa vinakufa sana naombeni mnisaidie ni tatizo gani hili na nifanye nini kuzuia hili?
Jamani naombeni mnisaidie kama kuna mfugaji bata mwenye uzoefu.... bata wangu vifaranga huwa vinakufa sana naombeni mnisaidie ni tatizo gani hili na nifanye nini kuzuia hili?
yap ni kweli kabisa wafugaji wa bata wengi hawajui sababu ya vifaranga kufa ,sababu sio baridi wala joto,tatizo ni ugonjwa wa virus unaoshambulia sana vifaranga wa bata,vifaranga wa bata huanza kugeuzageuza shingo na kuanguka kisha hufa,kwa bahati mbaya Tanzania hatuna chanjo kwa ugonjwa huu tunategemea miujiza kufuga bata,na huwezi kukuta mfugaji wa bata anabata wengi NEVER kwa sababu ya huu ugonjwa ,labla uagize kenya tena kwa kificho.ukiona vinaanguka vitenge vile vizimaJamani naombeni mnisaidie kama kuna mfugaji bata mwenye uzoefu.... bata wangu vifaranga huwa vinakufa sana naombeni mnisaidie ni tatizo gani hili na nifanye nini kuzuia hili?